Swali 2296: Ni ipi hukumu ya msuko mmoja? Nimeambiwa kwamba haijuzu na kwamba imekatazwa?
Jibu: Mwanamke kukusanya nywele za kichwa chake na kuziacha nyuma yake inajuzu, ni mamoja sawa ikiwa atazifanya kuwa msuko mmoja au zaidi, au akiziacha nyuma yake bila kuzisuka, kwa kuwa hakuna katazo lililokuja kuhusu jambo hilo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/186-187)
- Imechapishwa: 29/10/2026
Swali 2296: Ni ipi hukumu ya msuko mmoja? Nimeambiwa kwamba haijuzu na kwamba imekatazwa?
Jibu: Mwanamke kukusanya nywele za kichwa chake na kuziacha nyuma yake inajuzu, ni mamoja sawa ikiwa atazifanya kuwa msuko mmoja au zaidi, au akiziacha nyuma yake bila kuzisuka, kwa kuwa hakuna katazo lililokuja kuhusu jambo hilo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/186-187)
Imechapishwa: 29/10/2026
https://firqatunnajia.com/mtindo-wa-kuzifanya-nywele-mkia-mmoja/