Swali: Inajuzu kwa mwanamke kuwatazama wanaume ajinabi kama kwa mfano kutazama mechi?
Jibu: Kuna faida gani kwake kutazama mechi? Hanufaiki na chochote. Ama kuwatazama wanaume bila ya matamanio hakuna neno. Amtazame mwanaume, azungumze nae, akuchukue kutoka kwake na kumpa maadamu ni pasi na matamanio.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
- Imechapishwa: 18/10/2017
Swali: Inajuzu kwa mwanamke kuwatazama wanaume ajinabi kama kwa mfano kutazama mechi?
Jibu: Kuna faida gani kwake kutazama mechi? Hanufaiki na chochote. Ama kuwatazama wanaume bila ya matamanio hakuna neno. Amtazame mwanaume, azungumze nae, akuchukue kutoka kwake na kumpa maadamu ni pasi na matamanio.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
Imechapishwa: 18/10/2017
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kutazame-mechi/