Mwanamke kuswali nyuma ya imamu nyumbani kwake

Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuswali nyumbani kwake na kumfuata imamu kwa sababu anasikia sauti yake?

Jibu: Hapana. Isipokuwa tu ikiwa kama nyumba yake imekamatana na msikiti na anamuona imamu au anawaona maamuma walioko nyuma yake, katika hali hii inajuzu kumfuata imamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015