Mwanamke kumuwekea sharti mwanaume talaka iwe mikononi mwake

Swali: Je, mwanamke anayo haki ya kumuwekea sharti mwanaume kwamba talaka iwe mikononi mwake?

Jibu: Hapana. Talaka sio yake. Wenye haki ya kutoa talaka ni wanaume.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23854/هل-للمراة-اشتراط-جعل-الطلاق-بيدها
  • Imechapishwa: 19/05/2024