Mwanamke hataki kuitikia salamu ya mwanaume wa kando naye

Swali: Je, mwanamke anapata dhambi asipoitikia salamu ya mwanaume wa kando naye kwa sababu ya kuchelea fitina?

Jibu: Aseme:

وعليكم السلام

”Amani iwe juu yako.”

Hakuna fitina yoyote.

Swali: Asipoitikia?

Jibu: Anapata dhambi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29284/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%B9%D8%AF%D9%85-%D8%B1%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B1%D8%A7%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%B3%D9%84%D8%A7%D9%85%C2%A0%D8%AE%D8%B4%D9%8A%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D9%81%D8%AA%D9%86%D8%A9
  • Imechapishwa: 31/05/2025