Swali: Ikiwa ataadhini mwanamke nyumbani kwake, au mwalimu mwanamke madrasani kwake…
Jibu: Hakuna adhaana kwa mwanamke. Mwanamke hakuwekewa katika Shari´ah adhaana wala Iqaamah.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://youtu.be/8gGnIz2BuhI
- Imechapishwa: 28/09/2020
Swali: Ikiwa ataadhini mwanamke nyumbani kwake, au mwalimu mwanamke madrasani kwake…
Jibu: Hakuna adhaana kwa mwanamke. Mwanamke hakuwekewa katika Shari´ah adhaana wala Iqaamah.
Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://youtu.be/8gGnIz2BuhI
Imechapishwa: 28/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-hana-adhaana-wala-iqaamah/