11Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza. 12Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume, anapaswa kukaa kimya. 13Kwa sababu Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa. 14Na wala si Adamu aliyedanganywa, bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. 15Hata hivyo, mwanamke atabaki salama kupitia kuzaa watoto, bora tu waendelee katika imani na upendo na utakaso pamoja na utimamu wa akili.3 1Ni neno la uaminifu.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: 2 Timotheo 2:11-15
- Imechapishwa: 15/01/2020
11Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza. 12Mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume, anapaswa kukaa kimya. 13Kwa sababu Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa. 14Na wala si Adamu aliyedanganywa, bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. 15Hata hivyo, mwanamke atabaki salama kupitia kuzaa watoto, bora tu waendelee katika imani na upendo na utakaso pamoja na utimamu wa akili.3 1Ni neno la uaminifu.
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: 2 Timotheo 2:11-15
Imechapishwa: 15/01/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-anapaswa-kukaa-kimya-na-kunyenyea-katika-biblia/