Swali: Inafaa kwa mwanafunzi kurejea kwa wazazi wake wahitaji wakiwa wanaishi sehemu ambayo kuna fitina?

Jibu: Arudi kwao na ajitenge mbali na fitina. Arejee kwa wazazi wake na kuwatendea wema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2020