Swali: Je, niwaunge ndugu zangu ikiwa wananiudhi na ninachelea maudhi yao?
Jibu: Ndio, waunge ndugu zako hata kama wao watakukata. Hawatokudhuru – Allaah akitaka – bali ukiwaunga nyoyo zao zitalainika kwako. Ukiwakata ndio watazidi kukuchukia na kukukata zaidi. Muunge ndugu yako japokuwa yeye amekukata.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17500
- Imechapishwa: 21/11/2017
Swali: Je, niwaunge ndugu zangu ikiwa wananiudhi na ninachelea maudhi yao?
Jibu: Ndio, waunge ndugu zako hata kama wao watakukata. Hawatokudhuru – Allaah akitaka – bali ukiwaunga nyoyo zao zitalainika kwako. Ukiwakata ndio watazidi kukuchukia na kukukata zaidi. Muunge ndugu yako japokuwa yeye amekukata.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17500
Imechapishwa: 21/11/2017
https://firqatunnajia.com/muunge-ndugu-yako-japokuwa-yeye-amekukata/