Swali: Mara nyingi tunasikia kuhusu pote Nuswayriyyah, ´Alawiyyah. Ni kina nani na ni kwa nini wameitwa hivyo?
Jibu: Kwa sababu ndio pote lililopindukia mipaka katika Shiy´ah. Wanaonelea kuwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) ndio mungu. Wanaitakidi kuwa ´Aliy ndio mungu. Wanamuabudu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1434-08-14.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2020
Swali: Mara nyingi tunasikia kuhusu pote Nuswayriyyah, ´Alawiyyah. Ni kina nani na ni kwa nini wameitwa hivyo?
Jibu: Kwa sababu ndio pote lililopindukia mipaka katika Shiy´ah. Wanaonelea kuwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) ndio mungu. Wanaitakidi kuwa ´Aliy ndio mungu. Wanamuabudu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1434-08-14.mp3
Imechapishwa: 17/06/2020
https://firqatunnajia.com/mungu-kwa-mujibu-wa-nuswayriyyah-alawiyyah/