Swali: Ikiwa dada wa mke wangu ambaye ni mjane yuko kwangu, nami si Mahram wake. Je, inajuzu nisafiri naye pamoja na watu wa nyumbani kwangu kwenda sehemu ya mbali, kama Twaaif mfano?
Jibu: Ikiwa hana walii mwingine isipokuwa wewe, basi yuko pamoja na watu wa nyumbani kwako, kama ilivyo kwa mtumishi mwanamke asiye na walii, anasafiri pamoja na watu wa nyumbani kwako. Katika hali hii hakuna Mahram kwa sababu ya dharurah. Ama ikiwa ana Mahram, basi asafiri pamoja na Mahram wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1739/حكم-سفر-الرجل-باخت-زوجته-مع-وجود-زوجته
- Imechapishwa: 06/06/2026
Swali: Ikiwa dada wa mke wangu ambaye ni mjane yuko kwangu, nami si Mahram wake. Je, inajuzu nisafiri naye pamoja na watu wa nyumbani kwangu kwenda sehemu ya mbali, kama Twaaif mfano?
Jibu: Ikiwa hana walii mwingine isipokuwa wewe, basi yuko pamoja na watu wa nyumbani kwako, kama ilivyo kwa mtumishi mwanamke asiye na walii, anasafiri pamoja na watu wa nyumbani kwako. Katika hali hii hakuna Mahram kwa sababu ya dharurah. Ama ikiwa ana Mahram, basi asafiri pamoja na Mahram wake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1739/حكم-سفر-الرجل-باخت-زوجته-مع-وجود-زوجته
Imechapishwa: 06/06/2026
https://firqatunnajia.com/mume-kusafiri-pamoja-na-dada-wa-mke-wake/