Swali 451: Mtu aliye ndani ya Ihraam amemwamrisha mwengine kuua kiwindwa. Je, alipe fidia?

Jibu: Alipe fidia mara moja. Wote wawili ni wenye kupata dhambi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 160
  • Imechapishwa: 25/09/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´