Swali 447: Vipi kuhusu anayesahau kunyoa na kupunguza nywele katika ´Umrah?
Jibu: Inamlazimu kuvaa Ihraam na kuvua nguo zilizoshonwa, kisha apunguze nywele.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 143
- Imechapishwa: 30/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 447: Vipi kuhusu anayesahau kunyoa na kupunguza nywele katika ´Umrah?
Jibu: Inamlazimu kuvaa Ihraam na kuvua nguo zilizoshonwa, kisha apunguze nywele.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 143
Imechapishwa: 30/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/muhrim-aliyesahau-kunyoa-na-kupunguza-nywele/