Swali: ´Ishaa inacheleweshwa mpaka lini? Ni upi wakati wake wa mwisho?
Jibu: Mpaka katikati ya usiku. Huo ndio wakati wa khiyari kwa mujibu wa maoni sahihi.
Swali: Baada ya katikati ya usiku ´Ishaa ni wakati wa dharurah?
Jibu: Ni wakati wa dharurah kama itakavyokuja; baina ya katikati ya usiku hadi alfajiri ni wakati wa dharurah, kama vile ´Aswr kuanzia jua linapopauka hadi linapozama, huo ni wakati wa dharurah.
Swali: Wapo wanaosema kwamba baada ya katikati ya usiku muda wa ´Ishaa unakuwa umekwisha kabisa?
Jibu: Hapana, unakuwa umeisha muda wa khiyari tu. Imekuja katika Hadiyth Swahiyh ambapo aliulizwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu kulala akasema:
”Hakuna kuzembea katika kulala, bali kuzembea ni katika kuwa macho.”
Kwa maana kuichelewesha swalah mpaka kuingia wakati wa inayofuata. Hivyo akajaalia muda kati ya nyakati mbili kuwa ni muda wa swalah; isipokuwa Fajr, kwani muda wake unaisha kwa kuchomoza jua.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31571/هل-يخرج-وقت-العشاء-مطلقا-بعد-نصف-الليل
- Imechapishwa: 06/11/2025
Swali: ´Ishaa inacheleweshwa mpaka lini? Ni upi wakati wake wa mwisho?
Jibu: Mpaka katikati ya usiku. Huo ndio wakati wa khiyari kwa mujibu wa maoni sahihi.
Swali: Baada ya katikati ya usiku ´Ishaa ni wakati wa dharurah?
Jibu: Ni wakati wa dharurah kama itakavyokuja; baina ya katikati ya usiku hadi alfajiri ni wakati wa dharurah, kama vile ´Aswr kuanzia jua linapopauka hadi linapozama, huo ni wakati wa dharurah.
Swali: Wapo wanaosema kwamba baada ya katikati ya usiku muda wa ´Ishaa unakuwa umekwisha kabisa?
Jibu: Hapana, unakuwa umeisha muda wa khiyari tu. Imekuja katika Hadiyth Swahiyh ambapo aliulizwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu kulala akasema:
”Hakuna kuzembea katika kulala, bali kuzembea ni katika kuwa macho.”
Kwa maana kuichelewesha swalah mpaka kuingia wakati wa inayofuata. Hivyo akajaalia muda kati ya nyakati mbili kuwa ni muda wa swalah; isipokuwa Fajr, kwani muda wake unaisha kwa kuchomoza jua.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31571/هل-يخرج-وقت-العشاء-مطلقا-بعد-نصف-الليل
Imechapishwa: 06/11/2025
https://firqatunnajia.com/muda-wa-katikati-ya-usiku-kwa-ambaye-hajaswali-ishaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket