Mtume hakudumu kuleta Qunuut Fajr

Swali: Baadhi ya watu wanakunuti Fajr kwa kisingizio kwamba siku hizi wana matatizo?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuwa mwenye kudumu kuleta Qunuut. Mara huleta na mara nyingine anaacha kutegemea na haja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24313/حكم-المداومة-على-القنوت
  • Imechapishwa: 28/09/2024