Swali 130: Je, kuoga kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) pamoja na wake zake kunaonesha kuwa walikuwa wamevaa nguo za chini?

Jibu: Hakuna haja ya kudhani hivyo, kwani msingi ni kutokuwepo vazi hilo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 64
  • Imechapishwa: 25/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´