Suruuriyyuun, ni mamoja walioko Saudi Arabia au Yemen, wanawachezea shere wanachuoni na kuwatia ujingani. Hili linatolewa dalili na gezeti la ”as-Sunnah”. Mimi hapo kitambo nilikuwa nikisifia gazeti la ”as-Sunnah” na ”al-Bayaan”. Lakini hata hivyo wanawachezea shere wanachuoni na kuwatuhumu kwamba hawajui chochote juu ya mambo ya kisasa tofauti na wale chipukizi ambao wao wanatambua mambo ya kisasa.
Miongoni mwa alama za Hizbiyyuun ni kwamba huwachezea shere wanachuoni na kuwafanya watu wakakimbia mbali kuketi chini pamoja na wanachuoni. Hili ni jambo linalowafurahisha maadui wa Uislamu bali na mashaytwaan.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=16
- Imechapishwa: 05/12/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)