Mswaliji ametoa salamu pamoja na imamu kwa kusahau

Swali: Sujuud ya kusahau inafanywa baada ya salamu pale ambapo mswaliji aliyejiunga na imamu atatoa salamu pamoja na imamu kwa kusahau?

Jibu: Bora zaidi ni yeye asujudu baada ya salamu. Ni sahihi pia akitoa salamu kabla ya salamu, kwa sababu ametoa salamu kutokana na kupunguza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24852/ما-حكم-المسبوق-اذا-سلم-مع-امامه-ساهيا
  • Imechapishwa: 20/12/2024