Swali: Msichana wa kaka yangu alinyonya kwa mke wangu mara tano. Je, hivi sasa anakuwa haramu kwa watoto wangu?
Jibu: Ndio. Ikiwa alinyonya mara tano kwa kulishika titi kila mara, anapata hukumu ya uharamu wa unyonyaji.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (94) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-27-01-1440%D9%87%D9%80.mp3
- Imechapishwa: 02/02/2019
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket