Swali: Msafiri akimkuta imamu ambaye ni mkazi katika swalah ya Rak´ah nne naye akamkuta katika Tashahhud ya mwisho, je, ataswali Rak´ah mbili kisha amalize au aswali kwa kukamilisha?
Jibu: Anatakiwa aswali kwa kukamilisha. Akiunga pamoja naye, hata kama ni katika sehemu ya mwisho, anapaswa kukamilisha. Hilo ni kutokana na maneno yake Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anh):
“Kile mlichowahi kiswalini, na kile kilichowapita kikamilisheni.”
Kwa hiyo akiwahi pamoja naye Rak´ah moja, chini ya hapo au zaidi, anatakiwa aswali kwa kukamilisha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/163)
- Imechapishwa: 07/03/2026
Swali: Msafiri akimkuta imamu ambaye ni mkazi katika swalah ya Rak´ah nne naye akamkuta katika Tashahhud ya mwisho, je, ataswali Rak´ah mbili kisha amalize au aswali kwa kukamilisha?
Jibu: Anatakiwa aswali kwa kukamilisha. Akiunga pamoja naye, hata kama ni katika sehemu ya mwisho, anapaswa kukamilisha. Hilo ni kutokana na maneno yake Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anh):
“Kile mlichowahi kiswalini, na kile kilichowapita kikamilisheni.”
Kwa hiyo akiwahi pamoja naye Rak´ah moja, chini ya hapo au zaidi, anatakiwa aswali kwa kukamilisha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/163)
Imechapishwa: 07/03/2026
https://firqatunnajia.com/msafiri-aliyemkuta-imamu-ameshaswali-rakah-mbili-katika-dhuhr/