Swali: Je, inajuzu kuchukua msaada kutoka katika miji ya makafiri ili tuweze kushinda na kuzima maandamano katika miji ya kiarabu?
Jibu: Makafiri hawawatakii mazuri waislamu. Wao wanataka maslahi yao. Wanajichanganya ili wachukue matunda yao wao. Waislamu wataishilia kupigana na kuuana huku wao wanachuma matunda. Hatuwezi katu kuwaamini makafiri. Wala hatuwaingizi katika matatizo yetu na kutatua matatizo yetu.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=d4NPCR1q418
- Imechapishwa: 06/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)