596 – Shaykh aliulizwa kuhusu mnyama anayezunguka baina ya nchikavu na bahari. Hukumu yake ni ipi?

Jibu: Anazingatiwa kwa mujibu wa ile sehemu anayoishi zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 213
  • Imechapishwa: 06/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´