15 – Nikamuuliza Shaykh wetu kuhusu baadhi ya waliotunga kuhusu sifa maalum za Mtume na wakasema kuwa mkojo wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni msafi?
Jibu: Hakuna kilicho sahihi kuhusu hili. Sifa maalum hazithibitishwi isipokuwa kwa dalili.
16 – Kwa sababu alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni mwanadamu?
Jibu: Ndio, alikuwa akijisafisha kwa maji na akiosha (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 34
- Imechapishwa: 24/07/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
15 – Nikamuuliza Shaykh wetu kuhusu baadhi ya waliotunga kuhusu sifa maalum za Mtume na wakasema kuwa mkojo wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni msafi?
Jibu: Hakuna kilicho sahihi kuhusu hili. Sifa maalum hazithibitishwi isipokuwa kwa dalili.
16 – Kwa sababu alikuwa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni mwanadamu?
Jibu: Ndio, alikuwa akijisafisha kwa maji na akiosha (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 34
Imechapishwa: 24/07/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/mkojo-wa-mtume-si-najisi/