Mke wa mjomba wako ni ajinabi kwako

Swali: Je, mimi ni Mahram wa mke wa mjomba wangu?

Jibu: Hapana, wewe sio Mahram wake. Ni ajinabi kwako. Mke wa kaka yako yuko karibu kuliko yeye, lakini hata na yeye sio Mahram wako. Vipi iweje mke wa mjomba wako awe Mahram wako?

Check Also

Mtu kumuoa mama wa mke wa baba

Swali: Je, mama wa mke wa baba yangu na dada zake ni Mahram wangu? Jibu: …