Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kuvaa flana ya mume wake?

Jibu: Ikiwa flana zinatofautiana basi asivae flana ya mwanaume. Jambo ni lenye wasaa ikiwa flana zinatofautiani, kwa sababu flana ni katika mavazi yanayovaliwa ndani.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23285/هل-يجوز-لبس-المراة-بعض-ثياب-زوجها
  • Imechapishwa: 21/12/2023