Swali: Ikiwa kuna mwanamke aliyevunjika mguu, je, inafaa kwake kukusanya swalah za nyakati mbili pamoja?
Jibu: Ikiwa anapata uzito katika kutawadha kwa kila wakati wa swalah mbili, basi inafaa kwake kukusanya swalah kama wagonjwa wengine. Ama ikiwa hakuna uzito, basi ataswali kila swalah katika wakati wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/178)
- Imechapishwa: 09/03/2026
Swali: Ikiwa kuna mwanamke aliyevunjika mguu, je, inafaa kwake kukusanya swalah za nyakati mbili pamoja?
Jibu: Ikiwa anapata uzito katika kutawadha kwa kila wakati wa swalah mbili, basi inafaa kwake kukusanya swalah kama wagonjwa wengine. Ama ikiwa hakuna uzito, basi ataswali kila swalah katika wakati wake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/178)
Imechapishwa: 09/03/2026
https://firqatunnajia.com/mgonjwa-aliyevunjika-mguu-anaruhusiwa-kukusanya-swalah/