Mfungaji usitie dawa za matone puani wala kuwekwa damu

Swali: Vipi kuhusu mfungaji kutia matone ya dawa puani?

Jibu: Hapana, asiharibu swawm yake. Kutokana na Hadiyth inayosema:

“Fanya kishindo katika kupalizia isipokuwa kama utakuwa umefunga.”[1]

Swali: Vipi kuhusu mfungaji kuwekewa damu?

Jibu: Kinachohihiri ni kwamba anafungua.

[1] Abu Daawuud (142), at-Tirmdihiy (787), an-Nasaa´iy (87) na Ibn Maajah (407).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
  • Imechapishwa: 03/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´