Swali: Vipi kuhusu mtu aliyefungua swawm kwa makusudi?

Jibu: Kwa mujibu wa baadhi ya wanazuoni anapaswa kuilipa pamoja na kutubu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
  • Imechapishwa: 02/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abi Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´