Swali: Ni upi ukweli kuhusu Suufiyyah na Taswawwuf na Uislamu umechukua msimamo gani juu yake kwa sababu tunasikia mara nyingi kuwa Suufiyyah wameutumikia Uislamu kwa elimu, matendo na kuipa nyongo dunia? Kama ambavo tunasikia pia kuwa wameubomoa Uislamu na wameleta upotofu. Ni vipi tutaowanisha kati ya hayo mawili?
Jibu: Tuna kanda nzima kuhusu Suufiyyah. Imaam ash-Shaafi´iy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Iwapo mtu atakuwa Suufiy asubuhi, basi alasiri itafika akiwa mpumbavu.”
Imaam Abu Muhamamd bin Hamz amesema katika “al-Faswl al-Milal wan-Nahl”:
“Allaah ameupa mtihani Uislamu kwa Suufiyyah na Shiy´ah.”
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 348
- Imechapishwa: 05/05/2025
Swali: Ni upi ukweli kuhusu Suufiyyah na Taswawwuf na Uislamu umechukua msimamo gani juu yake kwa sababu tunasikia mara nyingi kuwa Suufiyyah wameutumikia Uislamu kwa elimu, matendo na kuipa nyongo dunia? Kama ambavo tunasikia pia kuwa wameubomoa Uislamu na wameleta upotofu. Ni vipi tutaowanisha kati ya hayo mawili?
Jibu: Tuna kanda nzima kuhusu Suufiyyah. Imaam ash-Shaafi´iy (Rahimahu Allaah) amesema:
“Iwapo mtu atakuwa Suufiy asubuhi, basi alasiri itafika akiwa mpumbavu.”
Imaam Abu Muhamamd bin Hamz amesema katika “al-Faswl al-Milal wan-Nahl”:
“Allaah ameupa mtihani Uislamu kwa Suufiyyah na Shiy´ah.”
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 348
Imechapishwa: 05/05/2025
https://firqatunnajia.com/mchana-akiwa-mzima-jioni-amekuwa-mpumbavu/