Swali: Je, inajuzu kuzungumza katika misikiti kuhusu mambo ya kilimwengu?
Jibu: Haitakikani na inachukiza, isipokuwa ikiwa ni jambo dogo tu. Mazungumzo ya mambo ya kilimwengu yawe majumbani na katika vikao. Ama misikiti ilindwe kutokana na mambo hayo, isipokuwa jambo dogo sana. Inapasa misikiti iwe ni mahali pa kusoma Qur-aan, kumsabihi Allaah, Tahliyl na kujikumbushana elimu, si mambo ya kilimwengu. Lakini husamehewa kilicho kidogo.
Mwanafunzi: Je, Salaf hawakuwa wakifanya hivo?
Ibn Baaz: Hapana, hawakuwa wakifanya hivyo, isipokuwa kitu kidogo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1580/هل-يجوز-الحديث-في-المساجد-في-امور-الدنيا
- Imechapishwa: 27/06/2026
Swali: Je, inajuzu kuzungumza katika misikiti kuhusu mambo ya kilimwengu?
Jibu: Haitakikani na inachukiza, isipokuwa ikiwa ni jambo dogo tu. Mazungumzo ya mambo ya kilimwengu yawe majumbani na katika vikao. Ama misikiti ilindwe kutokana na mambo hayo, isipokuwa jambo dogo sana. Inapasa misikiti iwe ni mahali pa kusoma Qur-aan, kumsabihi Allaah, Tahliyl na kujikumbushana elimu, si mambo ya kilimwengu. Lakini husamehewa kilicho kidogo.
Mwanafunzi: Je, Salaf hawakuwa wakifanya hivo?
Ibn Baaz: Hapana, hawakuwa wakifanya hivyo, isipokuwa kitu kidogo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1580/هل-يجوز-الحديث-في-المساجد-في-امور-الدنيا
Imechapishwa: 27/06/2026
https://firqatunnajia.com/mazungumzo-ya-kilimwengu-msikitini/