Swali: Je, tufuturu kwa kuzama jua au wakati wa adhaana?
Jibu: Ikiwa mnaona kuzama kwa jua ndicho kinachozingatiwa. Na ikiwa hakuna kizuizi kama jengo au mlima n.k. bali mnaona kuzama kwa jua moja kwa moja mbele yenu bila kizuizi, nyinyi mtaegemea kunako asili mtakula kwa kuzama kwa jua. Ambaye haoni kuzama kwa jua atakula kwa kufuata adhaana ya maghrib ya msikitini.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Je, tufuturu kwa kuzama jua au wakati wa adhaana?
Jibu: Ikiwa mnaona kuzama kwa jua ndicho kinachozingatiwa. Na ikiwa hakuna kizuizi kama jengo au mlima n.k. bali mnaona kuzama kwa jua moja kwa moja mbele yenu bila kizuizi, nyinyi mtaegemea kunako asili mtakula kwa kuzama kwa jua. Ambaye haoni kuzama kwa jua atakula kwa kufuata adhaana ya maghrib ya msikitini.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/mazingatio-ni-kuzama-kwa-jua/