120 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu matapishi ya watoto wadogo?

Jibu: Baadhi ya wanazuoni wamesema kuwa ni kama mkojo wake, ikiwa hajaanza kula chakula basi inatosha kunyunyizia maji, lakini ikiwa ameshaanza kula chakula basi ni lazima kuyaosha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 62
  • Imechapishwa: 18/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´