Swali: Ni masikini wepi wanaostahiki kupewa kafara?
Jibu: Masikini ni yule ambaye ana baadhi ya vya kumtosheleza. Hana vya kumtosheleza vilivyokamilika. Huyu ndiye masikini. Fakiri ni yule asiyekuwa na chochote. Fakiri ni mujitaji zaidi kuliko masikini.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 03/07/2024
Swali: Ni masikini wepi wanaostahiki kupewa kafara?
Jibu: Masikini ni yule ambaye ana baadhi ya vya kumtosheleza. Hana vya kumtosheleza vilivyokamilika. Huyu ndiye masikini. Fakiri ni yule asiyekuwa na chochote. Fakiri ni mujitaji zaidi kuliko masikini.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
Imechapishwa: 03/07/2024
https://firqatunnajia.com/masikini-wanaostahiki-kupewa-kafara/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)