Swali: Ni ipi hukumu ya swawm ya mtoto?
Jibu: Swawm ya mtoto, ni kama tulivyotangulia kusema, sio wajibu kwake. Imependekezwa. Anapata thawabu akifunga. Vilevile hapati dhambi akiacha kufunga. Lakini ni lazima kwa mlezi wake kumuamrisha ili azowee.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/84)
- Imechapishwa: 28/05/2017
Swali: Ni ipi hukumu ya swawm ya mtoto?
Jibu: Swawm ya mtoto, ni kama tulivyotangulia kusema, sio wajibu kwake. Imependekezwa. Anapata thawabu akifunga. Vilevile hapati dhambi akiacha kufunga. Lakini ni lazima kwa mlezi wake kumuamrisha ili azowee.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/84)
Imechapishwa: 28/05/2017
https://firqatunnajia.com/mapendekezo-ya-kuwaamrisha-watoto-kufunga/