Maoni ya sawa kuhusu ni lini mtu anahesabika amewahi swalah ya mkusanyiko

Swali: Mtu akipitwa na swalah na akamuwahi imamu katika Tashahhud kabla ya kutoa salamu – je, anahesabika amewahi swalah ya mkusanyiko au hapana?

Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba mtu hawahi swalah ya mkusanyiko isipokuwa pale atakapowahi Rak´ah moja.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 12/07/2019