Maoni ya Ibn ´Uthaymiyn kwa anayeacha kuchinja

Swali: Vipi kuhusu mtu ambaye anachinja pamoja na familia yake na yuko na watoto katika mji mwingine ambao bado hawajaoa na hawakuchinja. Ni kipi kinachowalazimu?

Jibu: Wakichinja ndio bora zaidi. Wakiacha kuchinja hakuna neno juu yao. Udhhiyah haimlazimu yeyote. Kwa sababu Udhhiyah msingi wake ni kwamba ni Sunnah iliokokotezwa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (25/24)
  • Imechapishwa: 19/08/2018