Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kutembelea kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba haijuzu kwa wanawake kuyatembelea makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi na wale wenye kuyafanya ni mahali pa kuswalia na kuyaweka chokaa.”
Haya ndio maoni sahihi. Ndio maoni yaliyothibitishwa na maimamu wa Da´wah na wengineo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa amekataza kuyatembelea makaburi, kisha akatoa rukhusa halafu akawakatalia wanawake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
- Imechapishwa: 11/09/2018
Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kutembelea kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Maoni ya sawa ni kwamba haijuzu kwa wanawake kuyatembelea makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi na wale wenye kuyafanya ni mahali pa kuswalia na kuyaweka chokaa.”
Haya ndio maoni sahihi. Ndio maoni yaliyothibitishwa na maimamu wa Da´wah na wengineo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa amekataza kuyatembelea makaburi, kisha akatoa rukhusa halafu akawakatalia wanawake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
Imechapishwa: 11/09/2018
https://firqatunnajia.com/maoni-sahihi-juu-ya-wanawake-kuyatembelea-makaburi/