Swali: Mama mkwe wangu anaumwa maradhi yasiyotarajiwa kupona. Hawezi kufanya kazi na anahitajia msaada kutoka kwa msichana wake, yaani msaada wa mke wangu. Lakini hataki kutoka Ufaransa. Je, inafaa kwa mke wangu kubaki pamoja naye Ufaransa?
Jibu: Ukimkubalia. Ukimkubalia itafaa kwake. Amsaidie. Mwache afanye hivo na Allaah akujaze kheri.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2018
Swali: Mama mkwe wangu anaumwa maradhi yasiyotarajiwa kupona. Hawezi kufanya kazi na anahitajia msaada kutoka kwa msichana wake, yaani msaada wa mke wangu. Lakini hataki kutoka Ufaransa. Je, inafaa kwa mke wangu kubaki pamoja naye Ufaransa?
Jibu: Ukimkubalia. Ukimkubalia itafaa kwake. Amsaidie. Mwache afanye hivo na Allaah akujaze kheri.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
Imechapishwa: 11/11/2018
https://firqatunnajia.com/mama-mkwe-hataki-kuhama-kutoka-ufaransa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)