Mama anatuamrisha kuwakata ndugu zetu

Swali: Mamangu anakataa kuunga kizazi na anatuamrisha na sisi kufanya hivyo. Je, inajuzu kwetu kufanya hivyo?

Jibu: Mmeshasikia jibu. Haya ni maasi na usimtii mzazi wako katika maasi:

“Hakuna utiifu katika kiumbe katika kumuasi Muumba.”

“Utiifu unakuwa katika wema.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020