Swali 23: Shaykh amethibitisha kuwa wazazi wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) walifikiwa na ulinganizi. Muulizaji mmoja akamuuliza: “Hakika mambo yalivyo ni kwamba alisema: ”Baba yako na baba yangu wako Motoni” ili tu kuufariji moyo wa mbedui yule.

Jibu: Shaykh wetu akasema hali ya kuwa amekasirika: Je, moyo wake utafarijika kwa kuadhibiwa kwa baba yake?

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 35
  • Imechapishwa: 25/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´