Swali: Je, tunaweza kusema kwamba nyumba ambayo iko na kifaa cha dishi/king´amuzi du´aa haikubaliwi na Malaika hawaingii ndani yake?
Jibu: Inakhofiwa wakazuiliwa Malaika kuingia ndani ikiwa ndani yake kuna king´amuzi kinachoeneza maovu na maharibifu. Hapana shaka kwamba Malaika ni wenye kukimbia mambo hayo.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (20)
- Imechapishwa: 02/07/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Je, mbwa wanaoruhusiwa katika Shari´ah wanawazuia Malaika kuingia ndani ya nyumba?
Swali: Je, Malaika kujizuia kuingia nyumba yenye mbwa kunajumuisha mbwa wa mawindo? Jibu: Hapana, hakujumuishi. Makusudio ni yule mbwa ambaye hakuidhinishwa, kama ilivyotangulia katika somo lililotangulia. Mbwa na picha zilizoidhinishwa hazizuilii. Picha zenye kudhalilishwa hazizuii kuingia kwa Malaika. Ndio maana Jibriyl alimwambia: “Ifanye mito miwili.”[1] Hapo ndipo Jibriyl aliingia ndani…
In "Kuamini Malaika"
Ni picha zipi zinazowazuia malaika kuingia nyumbani?
Swali: Picha iliyoko kwenye simu inaingia ndani ya maneno yake Mtume (Swalla Allaah ´alayhi wa sallam): "Malaika hawaingii katika nyumba ilio na mbwa au picha"? Jibu: Hadiyth inalenga picha iliowekwa wazi au iliyotundikwa. Kuhusu picha ambayo imefichikana na haionekani haiingii ndani ya hukumu hii. Lakini hata hivyo haijuzu kutumia simu…
In "al-Fawzaan kuhusu picha"
Malaika hawaingii maeneo haya
356 – Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: ”Jibriyl (´alayhis-Salaam) alinijia akasema: ”Nilikuwa nimekujia jana usiku. Hakuna kilichonizuia kuingia ndani ya nyumba uliyokuwemo isipokuwa ni kwamba kulikuwa na kinyago cha sanamu cha mwanamme. Katika nyumba kulikuweko kinyago cha sanamu katika pazia. Amrisha kichwa cha kinyago hicho kikatwe kiwe na…
In "al-Albaaniy kuhusu picha"