Swali: Ni ipi nasaha zenu kwa maimamu wa misikiti wanaowaona baadhi ya majirani hawahudhurii swalah ya mkusanyiko ambapo hawawanasihi na wala hawatoi taarifa kuhusu wao?
Jibu: Miongoni mwa yanayohusiana na yaliyotangulia ni kuwa mwenye uwezo na sifa anapaswa kujitokeza kwa wenye mamlaka ili apewe kibali; ili asipate madhara, apewe kibali kwamba anafaa kwa kazi ya kulingania na apate kibali kitakachomsaidia katika jambo hili ikiwa ni miongoni mwa watu wa elimu. Hilo linaweza kufanywa kwa kuelekea kwenye idara husika kama mamlaka ya fatwa na Da´wah au Wizara ya Shari´ah, kwa kuwa wana mamlaka katika hilo au idara ya kuamrisha mema na kukataza maovu ili apewe kibali kitakachomsaidia katika jukumu hili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30202/نصيحة-الشيخ-ابن-باز-لمن-عنده-اهلية-الدعوة-الى-الله
- Imechapishwa: 10/09/2026
Swali: Ni ipi nasaha zenu kwa maimamu wa misikiti wanaowaona baadhi ya majirani hawahudhurii swalah ya mkusanyiko ambapo hawawanasihi na wala hawatoi taarifa kuhusu wao?
Jibu: Miongoni mwa yanayohusiana na yaliyotangulia ni kuwa mwenye uwezo na sifa anapaswa kujitokeza kwa wenye mamlaka ili apewe kibali; ili asipate madhara, apewe kibali kwamba anafaa kwa kazi ya kulingania na apate kibali kitakachomsaidia katika jambo hili ikiwa ni miongoni mwa watu wa elimu. Hilo linaweza kufanywa kwa kuelekea kwenye idara husika kama mamlaka ya fatwa na Da´wah au Wizara ya Shari´ah, kwa kuwa wana mamlaka katika hilo au idara ya kuamrisha mema na kukataza maovu ili apewe kibali kitakachomsaidia katika jukumu hili.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30202/نصيحة-الشيخ-ابن-باز-لمن-عنده-اهلية-الدعوة-الى-الله
Imechapishwa: 10/09/2026
https://firqatunnajia.com/majirani-unawaona-hawahudhurii-swalah-ya-mkusanyiko/