Swali: Maiti akifa usiku ni bora azikwe usiku huo au aachwe hadi asubuhi?
Jibu: Akipatwa na mauti mwanzoni mwa usiku, basi ni bora aswaliwe baada ya swalah ya Maghrib au ya ´Ishaa. Lakini akifa katikati ya usiku, kilicho bora zaidi ni kuchelewesha hadi aswaliwe baada ya swalah ya Fajr, ili watu wawe wengi zaidi katika kumhudhuria, kumsindikiza na kumwombea msamaha. Hilo ni bora kwake na kwa jamaa zake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1170/هل-يجوز-دفن-الميت-ليلا
- Imechapishwa: 01/02/2026
Swali: Maiti akifa usiku ni bora azikwe usiku huo au aachwe hadi asubuhi?
Jibu: Akipatwa na mauti mwanzoni mwa usiku, basi ni bora aswaliwe baada ya swalah ya Maghrib au ya ´Ishaa. Lakini akifa katikati ya usiku, kilicho bora zaidi ni kuchelewesha hadi aswaliwe baada ya swalah ya Fajr, ili watu wawe wengi zaidi katika kumhudhuria, kumsindikiza na kumwombea msamaha. Hilo ni bora kwake na kwa jamaa zake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1170/هل-يجوز-دفن-الميت-ليلا
Imechapishwa: 01/02/2026
https://firqatunnajia.com/maiti-amefariki-usiku/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket