Mahujaji wamefika Muzdalifah mchana

439 – Nilimuuliza Shaykh wetu katika mwaka 1412 ambapo mahujaji wengi hawakufika Muzdalifah isipokuwa mchana wa siku ya ´iyd?

Jibu: Hawana kitu. Hajj yao ni sahihi, kutokana na msongamano.

  • Muhusika: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 141
  • Imechapishwa: 29/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´