Swali: Ni ipi hukumu ya maandamano ya wanawake?
Jibu: Maandamano yamezushwa, sawa ikiwa ya wanaume na wanawake.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=2151
- Imechapishwa: 01/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Kutoka kwa makafiri yakaenda kwa al-Ikhwaan al-Muslimuun
Swali: Ni ipi hukumu ya Shari´ah kuhusu migomo, maandamano na uchaguzi? Jibu: Ni kuwafuata kichwa mchunga maadui wa Uislamu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Mtafuata nyayo za wale waliokuwa kabla yenu hatua kwa hatua, shibiri kwa shibiri, mpaka wakiingia shimo la mburukenge nanyi mtaingia. Wakasema: “E Mtume wa…
In "al-Waadi´iy kuhusu az-Zindaaniy"

Maandamano ni fujo na uharibifu, sio katika Uisamu
https://www.youtube.com/watch?v=B9IMyUksKrw Swali la kwanza: Je, maandamano na mgomo ni katika Jihaad? Imaam Ibn Baaz: Hapana! Hili ni makosa, ni makosa, ni makosa! Hii ni fitina na shari. Haijuzu! Swali la pili: Je, maandamano ya wanaume na wanawake dhidi ya mtawala na kiongozi ni katika njia za kufanya Da´wah? Na kwa…
In "Ibn Baaz kuhusu maandamano, uasi, mapinduzi na migomo"
Baadhi ya madhara ambayo maandamano yamesababisha
Swali: Mwenye kusema kuwa maandamano yanajuzu mtu atahadharishe watu naye au ni masuala ya Ijtihaad? Jibu: Maandamano hayajuzu kwa hali yoyote. Nyinyi mmeona maandamano kwa macho yenu, tazamani uharibifu, maangamivu, nafsi ngapi yamesababisha kutoweka, watoto na wanawake, majumba mangapi na miji yameangusha? Maandamano hayafai. Dawa sio kwa kutumia maadamano. Dawa ni…
In "Mfumo wa Da´wah na ya kipaumbele"