Maana ya cheni ni kwa mujibu wa al-Bukhaariy na Muslim

Swali: Ni yepi maoni yenye nguvu pindi kunaposemwa ”cheni hii ya wapokezi ni kwa mujibu wa al-Bukhaariy na Muslim” au ”kwa sharti za Muslim”?

Jibu: Maana yake ni kwamba wapokezi wake ni wapokezi wa al-Bukhaariy na Muslim.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24621/https://binbaz.org.sa/fatwas/24621/
  • Imechapishwa: 15/11/2024