Maamuma amesahau kuleta Takbiyr nyuma ya imamu

Swali: Akisahau kuleta Takbiyr hali ya kuwa ni maamuma?

Jibu: Inamdondokea. Anamfuata imamu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24844/حكم-الماموم-اذا-نسي-ان-يكبر-اثناء-السجود
  • Imechapishwa: 20/12/2024