Maafisa wa polisi na walinganizi kupeleleza watu

Swali 760: Je, inatakiwa kwa maafisa wa polisi kupeleleza nyumba zenye mashaka?

Jibu: Hapana, mpaka wajue au waelezwe na mtu anayeaminika. La sivyo hapana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 256
  • Imechapishwa: 10/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´