Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema juu ya bahari:
“Maji yake ni twahara na maiti yake ni halali.”
Inajumuisha mnyama maiti wa ndani ya mto?
Jibu: Midhali mnyama anaishi ndani ya maji peke yake ni katika maiti wa bahari. Ni mamoja inahusiana na mto au bahari. Midhali anaishi tu ndani ya maji ni halali.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema juu ya bahari:
“Maji yake ni twahara na maiti yake ni halali.”
Inajumuisha mnyama maiti wa ndani ya mto?
Jibu: Midhali mnyama anaishi ndani ya maji peke yake ni katika maiti wa bahari. Ni mamoja inahusiana na mto au bahari. Midhali anaishi tu ndani ya maji ni halali.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/maadamu-anaishi-tu-ndani-ya-maji/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)