Swali: Ni kweli kwamba Allaah alimpa khiyari Luqmaan mwenye hekima kati ya unabii na hekima ambapo yeye akachagua hekima?
Jibu: Hakukusihi chochote katika hayo kabisa.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 305
- Imechapishwa: 04/07/2022
Swali: Ni kweli kwamba Allaah alimpa khiyari Luqmaan mwenye hekima kati ya unabii na hekima ambapo yeye akachagua hekima?
Jibu: Hakukusihi chochote katika hayo kabisa.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 305
Imechapishwa: 04/07/2022
https://firqatunnajia.com/luqmaan-alipewa-khiyari-ya-unabii-na-hekima/